Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Kwa mara ya kwanza nausoma uzi mwanzo mwisho bila kuelewa aseeAmekuwa mfano bora
Mapenzi ni kikohozi mkuu kuyaficha hutaweza
hv mange anapatkana wp cku iz?Mange ni kiboko.Angeshindwa kutaja Hospital ningeona Muongo.But kapatia mulemule na siku.
Ila kilichonishangaza why aende ile hospital? Tena ya wenyewe?
Something is not good here!
Swali hawakuogopa Usalama wake??