Ni wa kiume (it's a boy)

Ni wa kiume (it's a boy)

Haya mambo yanayoongelewa kama ni kweli, kwa wenzetu mzee angeondoka kwenye Kigoda kwa mijeledi, lakini sie kwetu poa tu maisha yanaendelea.
Wazungu wana haki ya kutushangaa kila uchao.
Mkuu sisi tuna amani ya woga. Hapo Kenya tu ma lawyer wa NASA wasingemuacha Uhuru salama.

Anaishi maeneo ya Wazo Hill na mkulu anakwenda usiku clues na mascara wa mahari matatu tu.
 
Back
Top Bottom