Ni wa kiume (it's a boy)

Ni wa kiume (it's a boy)

Balbu zangu hazijawaka!
Ni nani huyo kampa mimba mwanafunz??
 
Jamani mkulu ana risk maisha yake kwenda kum wins mtoto mpya na mama yake usiku wa manane. Penzi ni kikohozi kulizuia huwezi.
Mange ni kiboko.Angeshindwa kutaja Hospital ningeona Muongo.But kapatia mulemule na siku.
Ila kilichonishangaza why aende ile hospital? Tena ya wenyewe?
Something is not good here!
Swali hawakuogopa Usalama wake??
 
Kwa usalama wake pale ilikuwa rahisi zaidi na pia kutunza siri. Kuna staff Hawa kufahamu kuwa yuko pale mpaka anaondoka.
Mkuu achana na cheo cha urais, ukitamka tu linatekelezwa.
 
Kwa usalama wake pale ilikuwa rahisi zaidi na pia kutunza siri. Kuna staff Hawa kufahamu kuwa yuko pale mpaka anaondoka.
Mkuu achana na cheo cha urais, ukitamka tu linatekelezwa.
Jamani.Duniani kuna mambo.Aiseeee!!!!
Ila nasikia Katoto Keupeee pee kama Mama yake.(pengine kakikua)
Sasa kwa kuwa kataenda nje tutakaonaje wajamenii
 
Jamani.Duniani kuna mambo.Aiseeee!!!!
Ila nasikia Katoto Keupeee pee kama Mama yake.(pengine kakikua)
Sasa kwa kuwa kataenda nje tutakaonaje wajamenii
Hii rangi ndiyo imemchanganya You Know Who mpaka kujihalakishia mke wa mtu.

Kuna aliyesema You Know Who na Diamond wafundishwe kutumia condoms
 
Back
Top Bottom