Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
Siku bwana yule akijinyonga akufwe nyinyi ndio itakuwa sababu maana mnajitahidi sana ku boost hasira zakeInawezekana akawa Yohana Alcohol Mapadlock Junior
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku bwana yule akijinyonga akufwe nyinyi ndio itakuwa sababu maana mnajitahidi sana ku boost hasira zakeInawezekana akawa Yohana Alcohol Mapadlock Junior
Bwana yule hawezi kujinyonga na kumwacha mtoto Malaika pale amefika Kigoma
Sijaelewa Mada Inamzunguzia Nani , Ila Naomba Kueleweshwa Heading Ya Mtoa Mada Ilipaswa Kuandikwa It's A Boy Kwa Maana Ni Wa Kiume Au Alipaswa Kuandika (Is He) naomben ufafanuz wataalamu wa lugha
Nasikia hata mama yake mzazi alichepuka akazaliwa yeye na yeye kachepuka limezaliwa dume yoo mawe.Kitanda hakizai haramu hata yeye (bibie) ni mtoto wa wapare wawili si mpare na mgiriki kumbuka
Aaaah Nimekupata Mkuu, JoohMadini yamepata mtoto wa nje makiniki kamuweka siri pale nyumba nyeupe .mzee katupwa kwa machina.
Swissme
Hukusoma hii Ni wa kiume (it's a boy)Nasikia hata mama yake mzazi alichepuka akazaliwa yeye na yeye kachepuka limezaliwa dume yoo mawe.
Mkuu wwe utatekwa shauri yakoMambo yako hadharani hata mkijitahidi kupindisha ukweli
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mtoto ameshapatiwa passport yake.