Ni wa kiume (it's a boy)

Ni wa kiume (it's a boy)

Mke wangu alipokaribia kujifungua nilitoka China nikaja kushuhudia,sijajua huyu mwenzangu alienda kushuhudia!?
 
Mke wangu alipokaribia kujifungua nilitoka China nikaja kushuhudia,sijajua huyu mwenzangu alienda kushuhudia!?
Alitumwa mjumbe kumhakikishia usalama wa mke wake
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke. dah huyu mama mwenye nyumba anapitia mateso. Mungu ampe uvumilivu
Mama alishajichokea, muda wa kusubiri wakina Jesica wapate watoto baba analeta wakwake.
 
Mwaka huu mambo yatakuwa bye sana.maisha yatakuwa burudani kabisa kwa furaha yake
 
Back
Top Bottom