Ni wa kiume (it's a boy)

Ni wa kiume (it's a boy)

Nifate pm...majiib yameanza kuonekana..pm imetema
 
African men are natural polygamist...msishangae BTW yule mdingi ni made in mkoani,siyo mwanadaresalam.[emoji16][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mange ni kiboko.Angeshindwa kutaja Hospital ningeona Muongo.But kapatia mulemule na siku.
Ila kilichonishangaza why aende ile hospital? Tena ya wenyewe?
Something is not good here!
Swali hawakuogopa Usalama wake??
hv mange anapatkana wp cku iz?
 
yan hata mm sijaelewa kbs asee,,ila nmepata hisia tuu kwa mbal,,kwn yule maza mweupe alikua na kibendi?? ila ni mzur yule maza asee
 
Back
Top Bottom