Ni wa wakati wa kudai katiba mpya. Hii ya sasa imempa madaraka makubwa rais wa JMT haifai kabisa. Mmesahau yaliyomkuta Mwamba mpaka akalia machozi

Ni wa wakati wa kudai katiba mpya. Hii ya sasa imempa madaraka makubwa rais wa JMT haifai kabisa. Mmesahau yaliyomkuta Mwamba mpaka akalia machozi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando.

Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake wanatumika hovyo kupeleka mateso kwa raia kwa chuki ambazo hazina kichwa wala msingi.

Tupate katiba ambayo rais wa JMT akitekeleza majukumu vibaya kwa chuki na upendeleo basi nae ashitakiwa mara moja

Leo hii mnafurahi juu ya Sabaya lakini mmesahau jana tu.
 
Aiseee ni wewe kabisa umetamka maneno hayo?Basi Magufuli yupo mbinguni kweli
 
Tulipokuwa tunadai Katiba mpya mnatujibu haitengenezi barabara mlikuwa mntumia akili za wapi?
 
Back
Top Bottom