Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Shoo Shoo Kali ni Kali !
Kwa ufupi tu unapotaka kula njaa ni yako na kushiba ni jambo binafsi na kuridhika na msosi ni jambo binafsi hasa ladha ya ulimi wako, ubora wa meno, test ya chumvi, potion size etc, uwezo wa tumbo, mazoea, na etc.
Hii ni akili kubwa tu karibu kwa misumari, mateke, madekezo, upupu na uzuzu wote.
Tuamke kila mmoja ajiandae kwa jambo lake game is a game for either side win or lose and a draw.
Nani alaumiwie au apongezwe kwa ushindi, kupoteza au droo.
Akili ni nywele kama ilivyo kwa radha na kushiba kila mtu ana yake.
Nawasilisha.
Ccc Zero IQ
Deepond
Mshana Jr
Numbisa
Kasie
*All other beloved JF family members at equal weight on recognition.