Ni wajinga tu watadanganywa kuwa Lissu ni kibaraka wa Mabeberu

Ni wajinga tu watadanganywa kuwa Lissu ni kibaraka wa Mabeberu

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,740
Reaction score
11,976
Hayo madini, Mbuga za Wanyama, Gas, Uranium, Bandari, misitu n.k. ni kipi hawajapewa mabeberu kwa mikataba ya kijinga?

Kipindi cha Magufuli tuliambiwa yote hayo

Anachotaka Lissu hata kidogo kilichobaki tule wote, siyo wao wanakula na kuvimbiwa.

Wanachukua mamikopo ya trillions, ambayo kila uchwao report za CAG zinaonyesha wanakula kwa urefu wa kamba zao. Vyeo na mikopo hadi ya vijana, ni undugu, rushwa, ukada, uchama, uchawa na unamjua nani!

Huyu beberu gani fala kiasi hiki kufanya kazi na mtu hana mamlaka yoyote, muda wote anashinda rumande na mahakamani, halafu awaache wanaofanya maamuzi, mnawajua Mabeberu kweli nyie?

Huyo beberu amechanganyikiwa ama?!

Achani ujinga now akili za watu zipo sawa.

Mr mkiki.
 
Lissu yupo gerezani cha ajabu anashambuliwa huku nje na watu waliotawala taifa hili kwa zaidi ya miaka 60, wanakusanya kodi wanafanya kila liwezekanalo ili waendelee kutawala. Kama vp lissu atoke uwekwe mjadala tena hukohuko tbccm uwe live lissu hapa pale serikali fake yote na bunge fake wote hawa wapambane na lissu ili watanganyika tujue mbivu na mbichi ni nani anatumika na mabeberu.
 
Back
Top Bottom