Ni wajinga wa soka pekee ndiyo wanaoweza kusema Yanga ananunua mechi

Ni wajinga wa soka pekee ndiyo wanaoweza kusema Yanga ananunua mechi

Mbona hamueleweki? Ilipo drwa na Al hilal mlitoa povu kuwa wachezaji hawajitumi, mkaenda mbali zaidi mpaka utaka Profesa Nabi awaachie timu.
 
Sasa yanga Mara ya mwisho kumfunga Simba kwenye ligi ni lini?
Maana naona kila siku et Simba inapata tabu kumfunga yanga ,Kwan yanga ni mtoto kwa Simba.
Hamchelew mnakimbilia kwenye ngao wakat huo huo na nyie mshafungwa pale kigoma .
Kiukweli huu wimbo wa yanga kumfunga Simba kila Mara hata siuelew kabisa sijui mnaogopa nn had mnajibanza kwenye huu uhuni usio na uhalisia.
Juz tu Simba na yanga wamekutana kwenye ligi ,je ni Nan alizidiwa kistatistic je Nan alitaman mpira uishe ?je Nan alifurahia sare?
Ni Bora mngekuja na wimbo kuwa yanga na Simba hakuna mbabe wanatoshana nguvu kidogo ingeeleweka ila kuja na propaganda za kiwak as if kila Simba akikutana na yanga anafungwa .

Alafu kukomalia kuwa yanga inamfunga Sana Simba kwa lugha nyepes mshajiona waz nyie ni watoto kwa Simba so mtoto akimpiga mkubwa lazima iwe habar.
Yanga ni sawa na osasuna ambayo ikimfunga Barca basi huo ndio ukubwa wao ila kirank ni waz Nan ni mtoto hapo.

Achen ujinga chezen mpira muongeze point kadhaa huko kimataifa ,kumtoa tu mwarabu basi mnajiona ni magiant wa Africa
Kicha chako baada ya kubeba ubongo kinabeba mkusanyiko wa makamasi
 
Back
Top Bottom