Ni wajinga wachache wanaoamini kuwa Diamond platnumz ananunua tuzo na views za Youtube

Ni wajinga wachache wanaoamini kuwa Diamond platnumz ananunua tuzo na views za Youtube

Team Wachawi computer technology wamejulia ukubwani waishukuru company ya Tecno na huawei visimu vyao cheap angalau hata washamba wanajua kujamiiana (socialize)
 
Mleta uzi angezungumzia hapa hapa Tz ingekuwa hakuna tatizo, yeye amegusia kidogo kwa Africa nzima ndo nikawa namthibitishia wapo wengine mkuu.
*kwa Tz hakuna anaemfikia diamond kwa followers

Lupita nyong'o namtoa sawa, vipi kuhusu na hawa hapa
*omotola jalade 3,368,562
*genevieve nnaji 2,463,868
*diamond platnumz 1,795,859
1479921654905.jpg
huyo omotola wa wapi
 
samahani! hivi hao uliowataja ndio wanamziki gani? wameimba nyimbo gani? nikumbushe kidogo.
Bora wewe umejikita kwenye wanamuziki, kwa wapo wasanii kama psquare, tamer hosny na davido wamempita diamond.
-anaetoa takwimu za followers ndo ananishangaza wakati facebook JF wana followers wengi kuliko diamond.
* pia ukizungumza africa kuna masupastar wa aina nyingi mfano nimemuangalia samuel etoo na drogba wana followers wengi zaidi.
 
Mnatapatapa
 
Lupita anafanyia shughuli zake marekani so kumweka ktk list ya mastaa wanaofanyia kazi zao africa sio sahihi
huyu dada tangu nione makalio yake na matiti sina hamu nae..tazama movie ya TWELVE YEARS OF SLAVE
 
Mnatapatapa

Team Wachawi computer technology wamejulia ukubwani waishukuru company ya Tecno na huawei visimu vyao cheap angalau hata washamba wanajua kujamiiana (socialize)

samahani! hivi hao uliowataja ndio wanamziki gani? wameimba nyimbo gani? nikumbushe kidogo.
TWITTER (baadhi ya wanamuziki followerz)
*wizkid 2,369,972
*davido 2,034,505
*don jazzy 1,804,459
*tiwa savage 1,638,316
*dbanj 1,636,106
*peter okoye 1,169,648
*ice prince 1,011,603
Diamond platnumz 341,155 (laki 3)
 
Bado unaendeleza ngumi za watoto,kwa E.A ni DIAMOND PLATNUMZ NDIO ANAONGOZA hata kama humpendi ndio yeye anayewaburuza kwenye kila kitu. Au kama vipi nitajie kitu kimoja tu,ambacho Alikiba anaongoza kwa TZ ambacho MOND HANA/HAJAKIFANYA ??

Yeye wa kwanza kujulikana kwenye mziki tanzania na n wakwanza kwenda kimataifa kiamba na Robart Kelly [emoji113][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (Mond mtu mwingne wew ).
 
Yeye wa kwanza kujulikana kwenye mziki tanzania na n wakwanza kwenda kimataifa kiamba na Robart Kelly [emoji113][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (Mond mtu mwingne wew ).
Tatzo unakurupuka sana kiamba ndo kiswahili gani icho
 
TWITTER (baadhi ya wanamuziki followerz)
*wizkid 2,369,972
*davido 2,034,505
*don jazzy 1,804,459
*tiwa savage 1,638,316
*dbanj 1,636,106
*peter okoye 1,169,648
*ice prince 1,011,603
Diamond platnumz 341,155 (laki 3)
Twitter wabongo wengi hawaiwezi.. Elimu hakuna.. Wao wapo kwenye umbeya instagram
 
Kwa akili ya kawaida ni wajinga tu wanaweza kuamini diamond ananunua views youtube

Twende na facts kuujua ukweli

>Diamond ana followers milioni 3 instagram , View attachment 438482

Youtube ana subscibers 422,320

Facebook ana followers milioni 1.5

Twitter ana followers 350,000

Mfano kwenye instagram akisema kuna nyimbo mpya imetoka nenda youtube
View attachment 438483
, tuseme watu robo wameenda kutazama youtube maana yake ndani ya siku moja watu zaidi ya laki 500,000 wanaweza kutazama

>Akiweka nyimbo youtube wale subscibers 420,000 wanapata notifications maaana yake hao wote wanadondokea kwenye viewers.

Facebook na twitter nako hivo hivyo
Ni akili ndogo tu ndo inaweza amini diamond ananunua views

Na hivyohivyo Baada ya Davido kuwa na followers 3.2 million katika instagram

Diamond anashika nafasi ya pili kwa kuwa na folloewrs 3.0 million

So kwa Africa diamond platnumz ni mtu wa pili kuwa na followers wengi instagram

Sasa mnawezaje kusema huyu kaka ananunua Tuzo na views za youtube?

Ni wajinga wachache tu ndio watakaoamini!
Umeongea vyema kabisa.. Mimi pia siamini kama ananunua..

Lakini kuna vitu umeviongea hapo umekosea sana. Ulisomaga hesabu za SETS Form 2??
 
Back
Top Bottom