Ni wakati gani hapana ni hapana?

MAMMAMIA,umenikumbusha ishu ya shem wangu alivyokua anamtukana rafiki yangu mmoja hivi but now anadai eti hawezi kuishi bila jamaa!!Wanawake bana!!
 
Last edited by a moderator:
tazama ramani utaona nchi nzuri,
yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
huyo dada Lizzy sio dada kweli!
.....brass band itaendelea muda punde......
Bishanga hebu funguka kidogo, kwahiyo unasema Lizzy ni dada lakini siyo dada kweli! how?
 
Last edited by a moderator:
Kama hapa nimekuelewa vyema sana!Yaani wewe ni mmoja wao!Uzoefu bana raha sana!

Tatizo hua siendelezi majadiliano na mtu anaeng'ang'ania kunifahamu ilhali hata kunijua hanijui.
 
JB WISER yani na wewe mwanaune kamili? Haya bana.
Lizzy mbona Mwanaume kamili yupo poa tu? namuhoji Bishanga maana naona wiki anakuandama kweli kweli!! Ukisema haya bana maana yake hata lunch yangu leo haitarika maana Mwanamke kamili kama amekuwa disappointed kimtindo.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy mbona Mwanaume kamili yupo poa tu? namuhoji Bishanga maana naona wiki anakuandama kweli kweli!! Ukisema haya bana maana yake hata lunch yangu leo haitarika maana Mwanamke kamili kama amekuwa disappointed kimtindo.
Alright then, nilidhani.mwanaume kamili nae yumo humo. . .huyu Bishanga achana nae ni wivu tu unamsumbua.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Kongosho we wa ukweli! Haya ndo maujanja nnayotaka kujifunza mm nisijeonekana hata maujanja nayo ni petty kama Cash zangu

 
Last edited by a moderator:


hii mimi ndo huwa nacheza nayo,macho ya wanawake hata kabla hujamtongoza utamwona tu kuwa huyu wangu na huyu sio wakati umemtoa lunch au dinner mahali,,,kwa ilo cjawah mtongoza mwanamke nkamkosa tokea nimeota kidevu,chezeiya maujuz wewe?iga huone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…