Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wako. . .mimi siko!!Suala sio kubadili mawazo ishu ni kuwa wanawake mko vise vesa hasa wanaosema kwa ukali namna hii!
Wanawake wako. . .mimi siko!!
Kama hapa nimekuelewa vyema sana!Yaani wewe ni mmoja wao!Uzoefu bana raha sana!
Alright then, nilidhani.mwanaume kamili nae yumo humo. . .huyu Bishanga achana nae ni wivu tu unamsumbua.Lizzy mbona Mwanaume kamili yupo poa tu? namuhoji Bishanga maana naona wiki anakuandama kweli kweli!! Ukisema haya bana maana yake hata lunch yangu leo haitarika maana Mwanamke kamili kama amekuwa disappointed kimtindo.
Ukiwa unampa mwanamke kitu, mtizame machoni, huwa hayadanganyi. Macho huwa yana-shine na zile pupils zina-dilate(Wabaolijia msianze risechi risechi, hii ya uswahilini kama ile ya maprof wamechanganyikiwa)
Anaweza jibaraguza lakini macho yameafiki, ni kama anakuambia kuku wako manati ya nini? Ni kama nasema mie wako haraka ya nini? Ni kama anasema niache nikusanye courage zangu kabla sijaweka komitment.