Ni wakati gani uliwahi kuwa na furaha zaidi na hutoisahau?

Ni wakati gani uliwahi kuwa na furaha zaidi na hutoisahau?

Sijawahi kupata furaha, labda raha za muda mfupi, nadhani furaha ntaipata mbinguni.
 
Siku napigiwa simu natakiwa ...natakiwa tasisi nyeti sana,
 
Mimi sio matokeo ila kipindi niko HIGH SCHOOL ndio kipindi nilikuwa na furaha kuliko kipindi chote. I miss those two year.....
 
Haah pole sana komaa mpaka kieleweke upate furaha.

Boresha mbinu za utongozaji mpaka kieleweke.
Kafunga piemu

Ukimfuata hapa dk 2 unaona jamaa nae kafika kuingilia mazungumzo[emoji23]..yule jamaa sijui kategesha alarm
 
Siku niiliyoitwa kazini baada ya enterview ambayo kutokana na ushindani wake sikutegemea kabisa...na kitaa nilikuwa na msoto kama wa aka 3.5..maana siku ya usaili wenyewe kulikuwa na watu waliovalia nadhifu na mademu wakali wakali..wakati mi nilikuwa kawaida sana..kidogo nianze kujishtukia..lakini kutokana na code za ki-gangster nilipiga moyo konde
 
Ni Mengi yaliyonipa Furaha.... Siwezi kuyaeleza hapa... Ashukuriwe Mungu atupaye Mambo makuu zaidi ya yale Tuyaombayo.
 
View attachment 1125108

Mimi sitasahau siku ambayo matokeo ya form 4 yametoka na kuona nimefaulu kwa ile division kubwa,nikawa nikipita mtaani namsalimia kila mtu.

Karibuni
Namuomba Mungu anidumishie furaha yangu nilonayo ,,,kila nikiwa na mtoto wangu wakiume nahisi furaha tuu hasa akiwa kwenye ubora wake!!
 
Back
Top Bottom