KRISTIAN P
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 352
- 57
Wadau kimiya
Sasa na wewe kilichokutuma kwenda kusajiri nini?mbona kama biashara yenyewe ni ndogo sana.maana hata VAT naona kama hujagualify kulipa.
Wewe ungewapiga fix mauzo yako ni chini ya laki tatu kwa mwezi