KRISTIAN P
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 352
- 57
Jamani naombe msaada wenu kuhusu hili,mimi ni mfanya biashara ndogo ndogo,nina ofisini yangu nimeisajili tra na nina leseni ya biashara,nina huwezo wa kuingiza laki nne hadi sita kwa mwezi je ni kiasi gani inabidi nilipe ushuru tra na je icho kinalipa kwa kila baada ya miezi mitatu mitatu hau kwa mwaka naombeni msaada