Ukweli ni zaidi ya aya unayotaka kuisoma.najaribu kurudia kusoma aya iliyosema ajiunge ccm, na sioni, au una bandiko lako la chuki kichwani?
gentleman,
una mihemko au una makasiriko binafsi pamoja na wenzio baadhi?
hiyo dhana na hizo fikra dumavu potofu zinazofanana na ushirikina ndio hasa lengo la uzi huu kuzibadilisha kabisa,Bwashee kubali tu Yuvisisiemu ni kundi la CHAWA
Unapoona nchimbi na makala wamemkodi Mchungaji Msigwa ujue nyie hamna msaada wowote kwa Chama ππ
Uzuri UVCCM ilijengwa na akina Sukwa, Guninita, Lukuvi na huyu Dr Nchimbi hivyo nilipoona komredi Nchimbi anamualika Mchungaji Msigwa nikaelewa nyie akina Lucas mna Udhaifu uliotukuka πππ
Nimemaliza πΌ
π€£π€£π€£masuala ya kuwaza au kufikiria masuala ya vyama kwenye jambo muhimu kama maendeleo ya Taifa ni udumavu wa fikra, hujuma na sio uzalendo kwa taifa
sasa mbona unanifokea na mihemko namna hiyoπ€£π€£π€£
Kwani Chama dola ni kipi? Acha unafiki na wewe. Wewe ndio pimbi na mdumavu wa fikra. Maendeleo ya nchi na Usalama wa raia na mali zao upo chini ya Amiri Jeshi na Mwenyekiti wa Chama dola, ambaye ndio anayewachagua hao wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Sasa unapokuwa unatuketea propaganda za kitoto kama hizi unakuwa unatukosea sana. Na kwanini wanaoumizwa, kupotezwa, kuuwawa na kutekwa ni wale wenye itikadi tofauti na Chama dola ?
Mbona mwenzenu uyo , kama hujui basi pole.Ni dhahiri katika masuala ya siasa na uchumi Zitto Zuberi Kabwe ni mzoefu na anaweza kua bora kwa kiwango cha juu zaidi huenda ukalinganisha na nanma ambavyo David Kafulila anaperfom vizuri katika viwango bora vya juu zaidi vya kimataifa kwenye wadhifa na jukumu muhimu sana katika uchumi wa nchi yetu, nafasi ya Ukamishana wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPP). Well done kamishna David Kafulila.
Ni ukweli mtupu tena usiofichika ndugu Zito Kabwe anaweza kusaidia pakubwa mambo muhimu sana ya kitaifa kwenye uchumi wa nchi yetu na wananchi wote wakafaidika. maarifa, ubunifu na ujuzi wake katika uchumi, maskini ya Mungu unapotea bila kuchangia vya kutosha kubadili maisha ya watu.
Nadhani tunajifunza kwa ambao wana taaluma mbalimbali humu nchini na hivi sasa jua linazama na hawajasaidia hata kidogo kuleta mageuzi au mabadiliko yoyote kulingana na taaluma zilizobeba majina yao kwa mfano kwenye familia zao, kwa jamaa zao, ndugu zao wala taifa lao.
Actually, huu ni wasaa muhimu zaidi kwa wazee vijanaa hawa zito kabwe na John Myika kujiunga CCM na hatimae kuungana na kijana mwenzao David Kafulila ambae kwakweli anafanya kazi nzuri mno kwa maslahi mapana ya nchi yetu, kwa kutumia vizuri muda wake, elimu, ujuzi na maarifa yake kitaaluma.
Kwa kipindi kirefu wazee vijana hawa, wametumia taaluma na nguvu zao kupinga mipango ya maendeleo ya wanainchi kwa nguvu zote, bila mafanikio yoyote na sasa na wao muda unayoyoma hakuna la maana la kuwakumbuka.
Hivi sasa hawana budi kujitafakari na kufanya uamuzi mgumu Lakini wa maana sana kuungana na waTanzania wengine wazalendo katika kubuni na kushauri namna bora zaidi ya kuchochea maendeleo endelevu kwa wanainchi wakiwa ndani ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais na kiongozi kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan π
Mungu Ibariki Tanzania.
sasa gentleman,Mbona mwenzenu uyo , kama hujui basi pole.
Zipo taarifa kwamba aliekua msaidizi wa Katibu mkuu Chadema ,kutekwa akiwa kwenye basi la kuelekea Tanga ,na mwili wake kutwa Mochwari Mwananyamala hosp , unasemaje?
1.Sasa utekaji tz na kuuwa ndo imekua desturi ya tz
2. Kwa kua wanaotekwa na kuwawa wengi ni wanachama wa ccm ila sio wa chadema ,vipi watu waanzie vijijini huko kulipiza visasi? na je tukifika apo tz tutakua na taifa?
Leta majibu fasta , uchawa weka pembeni,ongea kama Mtanzania
πππsasa mbona unanifokea na mihemko namna hiyo
ni katika kuliunganisha Taifa tunafanya haya chini ya rais na kupenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan, hatuyumbi kwenye hilo gentleman
Ndugu ,sitaki siasa hapa , hii ipo serioussasa gentleman,
si uandike uzi mahususi wa mamalalamiko yako halafu initag nije kutoa maoni yangu huko?
halafu umeelewa kweli nilichoaandika? au umekurupuka tu