Ni wakati muafaka sasa Diamond aanze kuimba kwenye bar grocery za mitaani.

Mkuu huu ni mfano wa jamii tuliyonayo Tanzania, ambayo haitaki mawazo mbadala, wao wanataka wasifiwe tuuu, hizi praise team hazitaki kusikia critics au mawazo nje ya mawazo wanayoyataka wao.
 
"Wivu wa kike" mwenzako sasa hivi yuko Paris ana-shoot video ya wimbo wake mpya ambao ni moto wa kuotea mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakyamungu wewe utakuwa mchawi. Na kwa vyovyote wewe ni masikini, kama si wa mali ni kifikra

Waache vijana wetu Kiba na Mondi, wameweza kutuwakilisha.Mijitu yenye wivu na uchawi mnawaharibia.

Mijicho yako kama kiongozi fulani hivi wa kisiasa.
 
Nyie mnaochezewa makalio na hao niliowataja nilitegemea mbishane na hoja niliyoiweka, jenga hoja sister.
 
Nyie mnaochezewa makalio na hao niliowataja nilitegemea mbishane na hoja niliyoiweka, jenga hoja sister.

Wewe dada ni mchawi sana.Nijenge hoja kwa hoja gani ulioijenga?Hoja hujibiwa kwa hoja.Sasa hicho umeandika ukiwa uchi ukikalia tako moja ujibiwe kwa hoja gani?Wewe kweli ni moron kama si siren.
 
Wewe dada ni mchawi sana.Nijenge hoja kwa hoja gani ulioijenga?Hoja hujibiwa kwa hoja.Sasa hicho umeandika ukiwa uchi ukikalia tako moja ujibiwe kwa hoja gani?Wewe kweli ni moron kama si siren.
Achana na waume za watu sister, tafta mume wako peke yako. Wewe sio wa kudandia wanaume za watu. Mimi nina mke, akijua unataka nikufanye mke wa pili atakuua. Achana na mimi dada. Mbona wanaume wapo kibao tu hawajaoa kina Piere Liquid, kwa nini utung'ang'anie waume za watu?
 
Wewe acha uongo, ungekuwa mume usingekuja na umbea kuongelea sisi wanaume.Wenzio rijali tulinyamaza kimyaaa.Kipele cha kishoga kimekuwasha ukaja na umbea.

Ooh, Diamond,oooh,Kiba. Hicho ni kipele, wakimaliza kukupakua,njoo mimi namaliza.

Kashoga kadogo wewe.Mume uwe wewe kuja kuzungumzia wanaume wenzio.Kata kipele hicho
 
Diamond Na Kiba hawawezi kushuka kwa ajili ya uteam..ngoma mbovu watu wanasupport..
 
umeanza vizuri lkn ulipomalizia nikakutoa akili kbsa sasa Kama hoja ni kwamba kijana atuwakilishe nje ya nchi kwanini mchangiaji mwenzio hapo juu ampe kijana wetu kashfa ambazo hajawai kuzifanya..eti kwamba alisema hawezi kulala hoteli za mbeya..ndio maana na mimi nkatoka nje ya mada nkamuomb atuwekee hiyo link inayomuonesha diamond akisema hayo yote
 
Wabongo bwana chuki sjui ndo mitaji mliobaki nayo vichwani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…