Ni wakati Muafaka sasa watumishi wa Umma kumsamehe Hayati Magufuli na kayaishi Mazuri yake

Ni wakati Muafaka sasa watumishi wa Umma kumsamehe Hayati Magufuli na kayaishi Mazuri yake

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne

1.Mishahara haikupanda

2.Watu hawakuajiriwa

3.Madaraja hawakupandishwa

4.Mianya ya Upigaji ilizibwa

Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi mazuri yake .

Ijumaa Kareem
 
Umekaa miaka minne hujapandishwa daraja na masimango juu sasa asamehewe kwa lipi?
Mbona sasa hv hyo miundombinu inajengwa na watu wanaajiriwa na kupanda madaraja?
 
Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne

1.Mishahara haikupanda

2.Watu hawakuajiriwa

3.Madaraja hawakupandishwa

4.Mianya ya Upigaji ilizibwa

Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi mazuri yake .

Ijumaa Kareem
Upuuzi,kutuongezea makato ya bodi ya Mikopo na ushenzi mwingine ndio mambo mazuri?
 
Jpm kwenye hilo sitamsamehe Hadi kesho!

Mwamba alituumiza sana japo najua malezi ndani ya chama hayakumpa exposure ya kutosha Ili awe Rais Bora kuliko alivyokua!hasa exposure ya kimataifa!!!

Alituona sisi no maadui zake,kitu ambacho hakikuwa na afya yoyote kisiasa kwake;!!

Lakini mengi mazuri Naya enzi hadi leo!!
 
Unawaombea msamaha kina nani boss! Hao form4 feria na wafoji vyeti?

Achana na wehu hao! Waendelee kutokumsamehe

Upumbavu wao haukubaliki popote duniani
 
Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne

1.Mishahara haikupanda

2.Watu hawakuajiriwa

3.Madaraja hawakupandishwa

4.Mianya ya Upigaji ilizibwa

Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi mazuri yake .

Ijumaa Kareem
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne

1.Mishahara haikupanda

2.Watu hawakuajiriwa

3.Madaraja hawakupandishwa

4.Mianya ya Upigaji ilizibwa

Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi mazuri yake .

Ijumaa Kareem
Kwa like la kufukuza watumishi eti kwa sababu ya vyeti Bila kujali uwezo wao na kujiongeza/ kujiendeleza halafu kina Makonda na wengine kama Askari akawaacha. SIWEZI KUMSAMEHE ASILANI
 
Back
Top Bottom