Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Umekaa miaka minne hujapandishwa daraja na masimango juu sasa asamehewe kwa lipi?Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne
1.Mishahara haikupanda
2.Watu hawakuajiriwa
3.Madaraja hawakupandishwa
4.Mianya ya Upigaji ilizibwa
Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi mazuri yake .
Ijumaa Kareem
Upuuzi,kutuongezea makato ya bodi ya Mikopo na ushenzi mwingine ndio mambo mazuri?Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne
1.Mishahara haikupanda
2.Watu hawakuajiriwa
3.Madaraja hawakupandishwa
4.Mianya ya Upigaji ilizibwa
Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi mazuri yake .
Ijumaa Kareem
Ni mtazamo wakoUpuuzi,kutuongezea makato ya bodi ya Mikopo na ushenzi mwingine ndio mambo mazuri?
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne
1.Mishahara haikupanda
2.Watu hawakuajiriwa
3.Madaraja hawakupandishwa
4.Mianya ya Upigaji ilizibwa
Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi mazuri yake .
Ijumaa Kareem
Kwa like la kufukuza watumishi eti kwa sababu ya vyeti Bila kujali uwezo wao na kujiongeza/ kujiendeleza halafu kina Makonda na wengine kama Askari akawaacha. SIWEZI KUMSAMEHE ASILANIWatumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne