Ni wakati muafaka wa kurudisha "BAKORA" mashuleni

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
Tunalaumu sana kuhusiana na matokeo ya kidato cha nne, tunasahau pia na wanafunzi siku hizi wanajiachia sana. Asilimia kubwa ya waliofeli ni kutokana na ujinga wao na uhuru mkubwa walioachiwa tofauti na zamani ambapo kulikuwa na adhabu. Nashauri adhabu ya viboko irudishwe na huu ujinga wa kuandika mashairi ya bongo fleva kwenye mtihani hayatakuwepo...
 
Nakuunga mkono mkuu watoto wa siku hizi hakuna kitu wameweka mapenzi mbele shule baadae
 
BAKORA ni muhimu hasa kwa kizazi cha sasa, haya mambo tunayoiga toka nchi za magharibi ya haki za binadamu ,huko tuendako yatatutokea puani. Baadhi ya Wanafunzi hawana nidhamu hawajitumi hawaelezeki, yaani wapo wapo 2.
 
BAKORA INAADABISHA BWANA! ZINGERUHUSIWA BADO SIDHANI KAMA MWANAFUNZI ANGETHUBUTU JAPO KUOTA KUWEKA MASHAIRI YA BONGO FLEVA KTK MITIHANI, SHULE ZA KATA UTOVU WA NIDHAMU NDO UMEZIDI, SHULE YA HAPA KWETU KWETU KUNA BAADHI YA WATOTO MANUNDA WANAJIITA "HKL" (Hatusomi Kufaulu Lazima) NA KAZI YAO KUBWA NI KUSHINDA VIJIWENI (kwenye macamp). JE, KWA UJINGA KAMA HUU WATASHINDWAJE KUANDIKA HATA MATUSI KWENYE MAKARATASI YA MAJIBU YA MTIHANI?
 
Ha Ha Haaaa !!! Spare the rod, spoil the child.
 
Tunalaumu sana kuhusiana na matokeo ya kidato cha nne, tunasahau pia na wanafunzi siku hizi wanajiachia sana. Asilimia kubwa ya waliofeli ni kutokana na ujinga wao na uhuru mkubwa walioachiwa tofauti na zamani ambapo kulikuwa na adhabu. Nashauri adhabu ya viboko irudishwe na huu ujinga wa kuandika mashairi ya bongo fleva kwenye mtihani hayatakuwepo...

Jaribu kuliangalia suala hili kwa upana kidogo. Pamoja na kwamba mienendo ya wanafunzi imebadilika siku hizi ukilinganisha na jinsi ilivyokuwa hapo nyuma bado adhabu ya viboko siyo suluhu. Tatizo kubwa ni uhaba wa walimu na vifaa vya kufundishia. Serikali iongeze idadi ya walimu bora na iwaboreshee mishahara na kuwaandalia mazingira mazuri ya kazi. Sasa jiulize inakuwaje shule nyingi za binafsi zinafanya vizuri kimasomo kuliko zile za serikali. Shule za binafsi zimeajiri walimu borai wenye uwezo na wanawalipa vizuri, motisha iko juu sana.
 
Nakuunga mkono mkuu watoto wa siku hizi hakuna kitu wameweka mapenzi mbele shule baadae

Yaani, hapo sina cha kuongeza, lol! Ni ajabu form four anayetegemewa kufanya mtihani anakesha akiandika na kupokea meseji za mapenzi, kazi tunayo!
 
CHAPA KABISA

UNAKUTA TOTO
LIMEKUMBATIWA
NA DENTI MWENZIE
DALADALANI,
UKIWAKAZIA MACHO,
WATAKUTOLEA
LUGHA ZISIZOELEWEKA
TOTO LA KIKE LIMEWEKA
MA WAVE,
LINA SIM KALI KULIKO
MZAZI
YANABEBA NGUO
ZA HOME,
MIKOBANI MWAO
WANASHINDA
GUEST HOUSE 24/7
pambav atafaulu lini?
na uchumi ulivyo
sasa machangu na
vibaka watazidi
mitaani ,juu
wazazi wengi watashindwa
kuwaendeleza!nanga, znapaa!!
 
ndo muda wake acheni vijana waenjoy ujana jemen, ka hvyo vboko vnaxaidia bax ata hao mafxad 2wachape kwa ku2ibia miela ye2 by th way kufeli skul xo kufel maisha...
 
mda wa masomo
wa masomo
wa kufaidi maisha
unakuja
huswez zaliwa na kutembea lazma uanzie
kutambaa!sa wamekimbilia ya raha
wakavuka ya masomo
next
matatizo
yaani
watajuta na kusaga meno
kwakweli,
 
watoto wachapwe,mimi kila nikipata nafasi ya kufundisha ninawacharaza BAKORA!
 
ndo muda wake acheni vijana waenjoy ujana jemen, ka hvyo vboko vnaxaidia bax ata hao mafxad 2wachape kwa ku2ibia miela ye2 by th way kufeli skul xo kufel maisha...

Ndio walewale tu huenda na wewe uligonga F,maana hata kuandika hujui,hayo ma x x x ya nini na ndio nini?
 
Sasa wanafunzi wa secondary nao watachapwa? Wazazi wasimame kwenye nafasi zao na kulea watoto wao katika njia inayoipasa!
 
huku kwetu kijijini ipogoro mbona tunawakung'uta labda hizo shule zenu za st.flani.
 
Sasa wanafunzi wa secondary nao watachapwa? Wazazi wasimame kwenye nafasi zao na kulea watoto wao katika njia inayoipasa!

Nashangaa imagine mtoto wa kike ameshavunja ungo unamchapa??
 
ndo muda wake acheni vijana waenjoy ujana jemen, ka hvyo vboko vnaxaidia bax ata hao mafxad 2wachape kwa ku2ibia miela ye2 by th way kufeli skul xo kufel maisha...

Mapenzi ni nature kuwa mwanafunzi haina maana mwili unaseize,ndio maana huko boarding huwa wanaanza michezo mibaya mzazi akijua mwanae yuko salama kisa hakuna wasichana au hakuna wavulana kumbe ndio unaweza kuwa mbaya zaidi.

Kuoa na kuolewa mapema mnawakataza,basi bora awe na mpenzi wa kuondoa hizo hisia mradi kubalance tu.
 
mda wa masomo
wa masomo
wa kufaidi maisha
unakuja
huswez zaliwa na kutembea lazma uanzie
kutambaa!sa wamekimbilia ya raha
wakavuka ya masomo
next
matatizo
yaani
watajuta na kusaga meno
kwakweli,

akuna m2 anaejua mwsh wake wa kukaa dunian, ukxema uxubil mda wako utaenjoy unaweza ukafa ata chuo ujakiona na unauakiaka gan kwamba ukikua utakua na maisha mazuri ya kuenjy..
 
Ndio walewale tu huenda na wewe uligonga F,maana hata kuandika hujui,hayo ma x x x ya nini na ndio nini?

ka ujui uliza ujibiwe.. Lgha inakua na chngez ni invtabl hatupo kwnye enz zenu za 80's.!!! Nkikwambia pnts zang nlzozpata o.lvl utajidai xana kwa m2 ka mm kureply pst yko, ushazoea kuentract na vlaza wenzko...
 
Nashangaa imagine mtoto wa kike ameshavunja ungo unamchapa??

hakuna kitakacho fanyika bila nidhamu. Fikiria muda ambao mwalimu anatumia ku solve indespline cases ambazo zinaweza kuepukika kwa kufuata normal school routines. Yaani toto 1 pumbavu linakosesha haki watoto zaidi 40 kisa hatakiwi kuchapwa ila ukae nae over 15 mins unamshauli, what nonsense. Yaani sasa hivi walimu wanafanya kazi za upolisi,uhakimu,ushauli n.k kuliko kufundisha. Tutaongea sana ila hii mitoto na sera yetu ya kila mwanafunzi lazima amalize shule regardless anabehave vipi tunawadhuru na watoto ambao ni innocents.
 
Back
Top Bottom