Tunalaumu sana kuhusiana na matokeo ya kidato cha nne, tunasahau pia na wanafunzi siku hizi wanajiachia sana. Asilimia kubwa ya waliofeli ni kutokana na ujinga wao na uhuru mkubwa walioachiwa tofauti na zamani ambapo kulikuwa na adhabu. Nashauri adhabu ya viboko irudishwe na huu ujinga wa kuandika mashairi ya bongo fleva kwenye mtihani hayatakuwepo...