Kiziza
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 439
- 77
hakuna kitakacho fanyika bila nidhamu. Fikiria muda ambao mwalimu anatumia ku solve indespline cases ambazo zinaweza kuepukika kwa kufuata normal school routines. Yaani toto 1 pumbavu linakosesha haki watoto zaidi 40 kisa hatakiwi kuchapwa ila ukae nae over 15 mins unamshauli, what nonsense. Yaani sasa hivi walimu wanafanya kazi za upolisi,uhakimu,ushauli n.k kuliko kufundisha. Tutaongea sana ila hii mitoto na sera yetu ya kila mwanafunzi lazima amalize shule regardless anabehave vipi tunawadhuru na watoto ambao ni innocents.
Mkuu kwa hiyo kiboko,ndio njia pekee ya kuwadespline hao watoto?