Ni wakati muafaka watumishi wa Umma kumuadhibu Rais Magufuli

Ni wakati muafaka watumishi wa Umma kumuadhibu Rais Magufuli

Sina mengi ila ni wito tu nautoa kwa watumishi wote wa umma kutoa adhabu kali kwa Rais Magufuli kwa kuupigia kura upinzani ili kumkumbusha nguvu mliyonayo kwa jamii...
Wanyonge a.k.a mambumbu waliopo kwenye hizo sekta lazima wamchague.

Kuna mwalimu mmoja mwaka jana kwenye uchaguzi wa serikali , tulilikuta njiani tukalipa lift , baada ya hapo likaanza kujisifa upumbavu wake , eti tumetoka kuwakata chadema, wakati huo hata nauli ya daladala hana.
 
Watanzania ni kama tumerogwa vile, sio wafanyakazi tu hata wakulima huko vijijini ilipaswa wamwadhibu jiwe! Jiwe ana kiburi sana sema ndio anaongoza watu wasiojielewa!
Hao unaodhani wanajielewa kumbe ndo wanaongoza kwa kutojielewa sana sana wapo kwa ajili ya wizi.
Na wewe umo kwenye hilo kundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitamchagua magufuli, mbunge wa chadema na diwani wa chadema.

Magufuli anafaa sana, tena sana. Tatizo kuna wapumbavu wachache hawamwelewi hasa wachaga na chadema yao
Huyo huyo JPM unayeenda kumchagua anakwambia ukichagua mbunge na diwani wa upinzani hakuna maendeleo! Sasa hapo mpumbavu ni nani kama sio wewe!
 
Hatuwezi kuchagua mgombea ambaye dish linayumba na anasupport ushoga .....watoto wetu wa kiume tuwafiche wapi...tutamchagua magufuli
 
Toka nizaliwe watumishi always hua wanalia kuhusu mishahara kutokutosha so sioni hata awamu kama wangeongezewa wangepunguza vilio vya kila siku. Huenda vilio vyao havihusiani na uhalisia bali ubinafsi. Angalia hata Mkwere aliekuwa anawaongezea mishahara kila meimosi bado kuna waliomtosa na kuondoka na Lowasa alivohamia Chadema
 
Msiwalaumu watumishi , wengi hawaupemdi utawala huu wala ccm kiujumla ila kwa kuwa wao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi kwa asilimia kubwa ndiyo maana wanaangushiwa zigo tu wakati hata wengine hawapigi kura kabisa.
Ni kweli wapo wajinga ila werevu wapo pia tatizo hawawezi kusema hadharani wanavyopinga mambo maana kanuni zao za utumishi zinawaziba midomo hasa katika awamu hii ya kufukuzana kama kuku.

Mfanyakazi anayeamini ccm ndiyo imemwajiri ni mjinga sana huyo
 
Watumishi walivyo wa hovyo wameshasahau kuwa kuna kikokotoo kipya 2023 kinacho hakikisha wanaendelea kuwa masikini mpaka kufa
 
Sina mengi ila ni wito tu nautoa kwa watumishi wote wa umma kutoa adhabu kali kwa Rais Magufuli kwa kuupigia kura upinzani ili kumkumbusha nguvu mliyonayo kwa jamii.

Maana licha ya mchango mlioutoa (hasa watumishi wa halmashauri) kwenye kumuweka madarakani mwaka 2015, amejifanya kuwasahau kwa miaka yote mitano. Kipindi chote amewafanyia mambo mabaya na ya aibu ili kujipatia umaarufu miongoni mwa jamii.

Udhalilishaji: Rais Magufuli amekuwa akidhalilisha watumishi kwenye mikutano ya wazi mbele ya camera ili apate umaarufu kinyume na kanuni za utumishi wa umma. Je, mtapenda hali hiyo iendelee? UAMUZI NI WENU

Mishahara: Licha ya kwamba kupandishwa mishahara na kulipwa stahiki mbalimbali ni kwa mujibu wa Sheria na kanuni za utumishi wa umma, yeye kwa jeuri, kibri na dharau, amesimamisha vyote kwa miaka mitano. UAMUZI NI MWENU KUTOA ADHABU KALI KWENYE SANDUKU LA KURA

Ubaguzi kwenye kuadhibu: Tumeshuhudia watumishi wengi wakiondolewa makazini kwa kuwa na vyeti feki, hii ni sawa, lakini kaifanya kwa ubaguzi mkubwa. Baadhi ya sekta hajagusa. Pia, baadhi ya watu hajawagusa, mfano Makonda. NI WAKATI WA KUMKUMBUSHA KUHUSU USAWA.

NI HAYO TU
Akapigiwe kura na madaraja, ma flyovers, SGR na bwawa la umeme.
 
Back
Top Bottom