That's the right punch...CreativityCode,
Hakuna kundi la hovyo kama wafanyakazi wa serikali. They are highly stupidly divided. Kuna wenye vinafasi vyao, wanapata kila aina ya upendeleo...
Wanyonge a.k.a mambumbu waliopo kwenye hizo sekta lazima wamchague.Sina mengi ila ni wito tu nautoa kwa watumishi wote wa umma kutoa adhabu kali kwa Rais Magufuli kwa kuupigia kura upinzani ili kumkumbusha nguvu mliyonayo kwa jamii...
Hao unaodhani wanajielewa kumbe ndo wanaongoza kwa kutojielewa sana sana wapo kwa ajili ya wizi.Watanzania ni kama tumerogwa vile, sio wafanyakazi tu hata wakulima huko vijijini ilipaswa wamwadhibu jiwe! Jiwe ana kiburi sana sema ndio anaongoza watu wasiojielewa!
Ndio tunawaelimisha wabadilike....Sasa hapa ni bora CCM kuliko nyie mnaowatukana.
Huyo huyo JPM unayeenda kumchagua anakwambia ukichagua mbunge na diwani wa upinzani hakuna maendeleo! Sasa hapo mpumbavu ni nani kama sio wewe!Nitamchagua magufuli, mbunge wa chadema na diwani wa chadema.
Magufuli anafaa sana, tena sana. Tatizo kuna wapumbavu wachache hawamwelewi hasa wachaga na chadema yao
Wote chagueni ccm ila mimi siwezi chagua mateso na machungu kwa miaka mitano mingine. Never.Sasa hapa ni bora CCM kuliko nyie mnaowatukana.
Akapigiwe kura na madaraja, ma flyovers, SGR na bwawa la umeme.Sina mengi ila ni wito tu nautoa kwa watumishi wote wa umma kutoa adhabu kali kwa Rais Magufuli kwa kuupigia kura upinzani ili kumkumbusha nguvu mliyonayo kwa jamii.
Maana licha ya mchango mlioutoa (hasa watumishi wa halmashauri) kwenye kumuweka madarakani mwaka 2015, amejifanya kuwasahau kwa miaka yote mitano. Kipindi chote amewafanyia mambo mabaya na ya aibu ili kujipatia umaarufu miongoni mwa jamii.
Udhalilishaji: Rais Magufuli amekuwa akidhalilisha watumishi kwenye mikutano ya wazi mbele ya camera ili apate umaarufu kinyume na kanuni za utumishi wa umma. Je, mtapenda hali hiyo iendelee? UAMUZI NI WENU
Mishahara: Licha ya kwamba kupandishwa mishahara na kulipwa stahiki mbalimbali ni kwa mujibu wa Sheria na kanuni za utumishi wa umma, yeye kwa jeuri, kibri na dharau, amesimamisha vyote kwa miaka mitano. UAMUZI NI MWENU KUTOA ADHABU KALI KWENYE SANDUKU LA KURA
Ubaguzi kwenye kuadhibu: Tumeshuhudia watumishi wengi wakiondolewa makazini kwa kuwa na vyeti feki, hii ni sawa, lakini kaifanya kwa ubaguzi mkubwa. Baadhi ya sekta hajagusa. Pia, baadhi ya watu hajawagusa, mfano Makonda. NI WAKATI WA KUMKUMBUSHA KUHUSU USAWA.
NI HAYO TU