astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili.
Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda sambamba na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Bunge ni mhimili muhimu.
Mbunge kuwa na elimu ya kidato cha 6 angalau ni bora sana!