astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
Kwa vile elimu bure ni mpaka kidato cha nne, manadiliko haya yaanze uchaguzi wa 2030 wakati elimu bure wa Magufuli watapiga kura kwa mara ya kwanza.Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili.
Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda sambamba na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Bunge ni mhimili muhimu.
Mbunge kuwa na elimu ya kidato cha 6 angalau ni bora sana!
Hata kwenye miaka hiyo uliyoitaja mkuu kusoma na kuandika hakukutosha,ilikuwa ni vituko tu.Hivi akija muwekezaji Mbunge si lazima atafute mkalimani?Hii inafaa kweli?Hivi ni Mbunge gani asiyeweza hata kuandika ka-proposal akapeleka halimashauri au hata kwa muwekezaji!Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili.
Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda sambamba na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Bunge ni mhimili muhimu.
Mbunge kuwa na elimu ya kidato cha 6 angalau ni bora sana!
Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili.
Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda sambamba na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Bunge ni mhimili muhimu.
Mbunge kuwa na elimu ya kidato cha 6 angalau ni bora sana!
Kwa vile elimu bure ni mpaka kidato cha nne, manadiliko haya yaanze uchaguzi wa 2030 wakati elimu bure wa Magufuli watapiga kura kwa mara ya kwanza.
Ukianza sasa huu utakuwa ni ubaguzi.
P
Uwezo wa kuwasiliana na binadamu wengine kwa maandishi, kauli, lugha ya mwili nk Pia uwezo wa kupambanua namba.First things first, definitions.
Elimu ni nini?
Naunga mkono hojaWazo lako ni zuri kwani limeegemea katika uhalisi wa dunia ya sasa. Elimu kubwa haikwepeki.
Tatizo tunao wasomi wengi wenye kushusha thamani ya elimu walizonazo halafu tunao darasa la saba wengi tu wenye utayari wa kuchapa kazi na ni wasikivu na wenye msaada kwa watu wanaowazunguka.
Tuliliweka hili kwenye katiba mpya ya Warioba (mbunge awe na angalau shahada moja na kuendelea), lakini WAPUMBAVU waliiondoa pale bungeni kwenye bunge la katiba.Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili.
Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda sambamba na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Bunge ni mhimili muhimu.
Mbunge kuwa na elimu ya kidato cha 6 angalau ni bora sana!
Kama vile musukuma na lusinde.Wazo lako ni zuri kwani limeegemea katika uhalisi wa dunia ya sasa. Elimu kubwa haikwepeki.
Tatizo tunao wasomi wengi wenye kushusha thamani ya elimu walizonazo halafu tunao darasa la saba wengi tu wenye utayari wa kuchapa kazi na ni wasikivu na wenye msaada kwa watu wanaowazunguka.
Kumbe jf siku hizi tunapangiana aina za michango kwa watu kuarajiwa kuchangia michango ya faid tuu na sio ushabiki?, naomba jf iweke muongozo wa michango ya faida iweje na michango ya ushabiki ikoje ili tuiepuke.Nilitarajia ungechangia kwa faida na sio kwa ushabiki...
Kwa kifupi Tz Ina wahitimu wa vyu vikuu tokea enzi za JK Nyerere.. hivyo elimu kwa mbunge iwe ngazi ya shahada na kuendelea.... Hii italeta sura mpya bungeni na mawazo/hoja chanya kwa faida ya taifa..
Kuna wabunge wako stable economically na hamna la maana walilofanya Wala hata kuchangia huko bungeni, pia hawatoi hela zao mifukoni ili kuleta maendeleo ni Kodi za wananchi, so hyo kuwa isolate vijana na wasomi hainaa mashiko Nyerere kawa Raisi akiwa kijana kabisa na tunaona impact yake kwa taifa letu, bungeni kunatakiwa damu changa nyingi sio waliosoma mitaala ya 60 na 70Mimi niko tofauti kidogo na Wadau humu kwanza mimi napenda kuona Wabunge wenye influence kwa jamii ambao tayari ni self made kitendo cha kupeleka vijana wanaotoka sijui vyuo degree zao kwa kweli hapana mana exposure na Experience ni ndogo sana japo pia kuna wasomi tayari wana experience ila swala la kiungozi limekaa zaidi ki talent japo mtu akisoma pia anakuwa super sana ila tayari uwe umefanya kitu kwa jamii kinachonekana sio tukupe ubunge ndio uje uchume ukale na ndugu hao Tunao waita wasomi wengi ni watumishi wa umma mtu hata karanga au biashara yoyote hajawahi yeye ni per diem, Overtime na salary tu na magendo magendo hao hawatufai na tutatengeneza kichaka cha watu kupiga ofisi ya mbunge iwekwe wataaalamu tu ambao wata act kama advisors ila mtu top ni zaidi ya Elimu anapaswa awe na busara, exposure na Tayari awe stable economically
Wakuu kuna faida kubwa sana kuwa na kiongozi ambae tayari ni self made ipo kubwa sana tena akiwa na Shule ni poa zaidi
Na hao wasomi si tumeona madudu yao aisee watu hawajui ata kujieleza mtu apewa mda wa dakika 10 bungeni ajieleze anasimama ana sifia kwa dakika 9 then ya mwisho anasema Naunga mkono hoja ukifatilia ni DR kabisa what a shame.
Mkuu vetting bado inahitajika tu kuliko generalization mana pia kuna vijana ni damu changa na ni hakuna kitu chochote wanawaza teuzi tu wamekuwa watu wa kusifu tu, vetting tu iwe implemented ili tupate wawakilishi wazuriKuna wabunge wako stable economically na hamna la maana walilofanya Wala hata kuchangia huko bungeni, pia hawatoi hela zao mifukoni ili kuleta maendeleo ni Kodi za wananchi, so hyo kuwa isolate vijana na wasomi hainaa mashiko Nyerere kawa Raisi akiwa kijana kabisa na tunaona impact yake kwa taifa letu, bungeni kunatakiwa damu changa nyingi sio waliosoma mitaala ya 60 na 70
Hata wazee mbona ndo vinara wakusifu taifa lolote hujengwa na vijana wenye nguvu,na mawazo mapya na chanyaMkuu vetting bado inahitajika tu kuliko generalization mana pia kuna vijana ni damu changa na ni hakuna kitu chochote wanawaza teuzi tu wamekuwa watu wa kusifu tu, vetting tu iwe implemented ili tupate wawakilishi wazuri