mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Kwani Hadi kumchokoza Yahudi walikuwa hawajui Tabia yake??Hali ya Gaza inazidi kuwa mbaya na idadi ya vifo vinaongezeka kwani jeshi la Israel limekuwa huru kuua kama linavyopenda.
Wapiganaji wa Gaza wenyewe wametumia nguvu zao zote kujitetea mpaka wameishiwa nguvu.Hakuna cha kusifia kwa vikosi vya IDF kwani ni kama vile dunia nzima imeshirikiana na Israel kuwafunga mikono na miguu wapiganaji wa Gaza kuiachia Israel iwauwe.
Kilichotokea na kinachoendelea kutokea ni kuwa Netanyahu amewahadaa kikamilifu watu wa Gaza na kuwachokesha bure bila nafuu iliyotegemewa.Hatimae na Misri nayo ikaiwachia Israel ifungu mpaka wote na kudhibiti hata chakula kinachoingia Gaza.
Waziri wa Israel aitwaye Smotrich amesema sasa Israel ina uwezo wa kuwaua wapalestina wote waliobaki Gaza kwa njaa japo dunia anahofia huenda ikawazuia kufanya hivyo jambo ambalo pia hakuna nguvu ya kulizuia.
Nguvu na kasi ya Israel ya kupiga inapotaka na kuua kwenye maeneo yaliyotangazwa ni salama imekuwa kubwa sana.Hakuna tena kuchagua kambi ya wakimbizi au shule na hospitali. Inapiga tu kwa kutumia silaha nzito na kisingizio kinakuwa ni kumlenga kamanda wa Hamas.
Baada ya kuuliwa kwa Ismail Haniya Iran iliahidi kulipiza kisasi kwa kuipiga Israel. Hata hivyo raisi mpya wa Iran, Masoud amekuja na wazo la kutaka kuepusha vita hivyo yawezekana kwa woga au sababu nyengine za kiuchumi.
Tukirudi katika madhila yanayowakuta watu wa Gaza ambapo hakuna tena sehemu inayoitwa salama kuhamia na wameishiwa na nguvu. Ni wakati sahihi wa kupatikana nguvu kutoka nje itakayowaokoa kumalizwa kuuliwa na Israel.
Kwa vile maazimio ya UN na hukumu za mahakama hakuna hata moja iliyofanya kazi kuizuia Israel kuendelea kufanya unyama wake. Na kwa sababu hakuna taifa jengine lenye nguvu lililojitokeza kuleta nafuu.
Na kwa vile Iran pekee imejitokeza na ina sababu ya kuingia vitani na Israel, basi ni wakati munasibu kwa taifa hilo kumtegemea Mungu na kuingia kati kuwaokoa Wapalestina ili wasimalizwe kwa kuuliwa kwa silaha au kwa kunyimwa chakula.
Watu Ambao walimuuwa hata ndugu Yao YESU watakuonea huruma ww??
Wanavuna walicho panda! Ili wengine wajifunze!
Iran UNAJUA Tabia za Yahudi! Ndio sababu hawakulipiza walipo uwawa wataalamu wao wa Nuke!
Na wakijaribu kulipiza jisasi Iran itarudi nyuma Hadi stone age.
MUNGU WAO Yahudi Amewaagiza Wafuasi wake!
👇👇
Torati.19:20-21
[19]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.