Ni wakati sahihi kwa Iran kuwaokoa Wapalestina ambao sasa shule, hospitali na misikiti sio salama tena kukimbilia

Kwani Hadi kumchokoza Yahudi walikuwa hawajui Tabia yake??
Watu Ambao walimuuwa hata ndugu Yao YESU watakuonea huruma ww??
Wanavuna walicho panda! Ili wengine wajifunze!
Iran UNAJUA Tabia za Yahudi! Ndio sababu hawakulipiza walipo uwawa wataalamu wao wa Nuke!
Na wakijaribu kulipiza jisasi Iran itarudi nyuma Hadi stone age.
MUNGU WAO Yahudi Amewaagiza Wafuasi wake!
👇👇
Torati.19:20-21
[19]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
 
Sidhani kama unaweza kukubali nyumba yako na familia yako iteketee kwa sababu ya kuingilia ugomvi wa jilani yako
Ukishindwa kufanya hivyo basi ubinadamu wako uko chini sana.Jirani katika uislamu amepewa haki mpaka masahaba wakahofia huenda akawa mrithi.
 
Ushauri wako ni ujinga mtupu kwa binadamu.Binadamu hupaswa kuogopa nguvu za Mungu pekee sio za binadamu mwenzake hasa anapokuwa dhalimu.
 
Netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe vumilia mdau hupendi kwenda akhera? Nyie si mmesoma ilimu akhera?
Kejeli zako zimesikika nasi binadamu na Mungu katutangulia kujua
 
Maelezo kama hayo yanawafaa wapiganaji wa Seleka
 
Kipigo kina kuja tu wewe Iran toka lini alimuogopa America, safari hi ndio US anaenda kusafishwa vizuri akijidai kumgusa Iran
Mtume rehma na amani zimshukie kabla kupewa utume kulitokea mambo mengi kwa makuraishi kuwatayarisha na ujio wake.Hivyo hivyo kwa mitume waliomtangulia.
Haya maafa ya wapalestina na kuonekana wanyonge huku wengine wakila pilau na biriani nia matayarisho ya aina yake dunia kupokea kitu cha mshangao mkubwa.
 
Iran angekuwa na uwezo huo angeshadanya hayo 1990s , na 1980s wakati iran iko kwenye vugugu. Wakati israel haikuwa strong kama sasa, but the wwmeshachelewa
 
Ushauri wako ni ujinga mtupu kwa binadamu.Binadamu hupaswa kuogopa nguvu za Mungu pekee sio za binadamu mwenzake hasa anapokuwa dhalimu.
Unashindana na mwenyenguvu kwakutegemea misaada ni ujinga
 
Ushauri wako ni ujinga mtupu kwa binadamu.Binadamu hupaswa kuogopa nguvu za Mungu pekee sio za binadamu mwenzake hasa anapokuwa dhalimu.
wee unachekesha Binadamu unamuona jMUNGU umemuona wapi??
 
Iran angekuwa na uwezo huo angeshadanya hayo 1990s , na 1980s wakati iran iko kwenye vugugu. Wakati israel haikuwa strong kama sasa, but the wwmeshachelewa
Hizo alili zako zakuazima US ni noma sana aisay, kwenye 1980 mpaa 1988 Iran alikuwa kwenye vita na anapigana na nchi za kiarabu karibu 12+ US na vibaraka vyake. 1990 unayo iongelea wewe Iran atoke vitani miaka miwili haijafika plus anafanyiwa vikwazo maisha yake. Uje umfananisha na huyo shoga anayepewa kila mwaka silaha za bure, na misaada ya pesa karibu mabillion kila mwaka, nadhani mwezi bado ni mchanga kwako kwa kula maboga.

We unaonyesha wale mlio lishwa maboga machanga asubuhi asubuhi akili mpaa zije kukuwa inataka miaka 30.


Israel Gaza tu mpaa leo hajashinda, chuma hicho live Gaza, afu anakuambia watamuwa si huyo anatembea Gaza


View: https://youtu.be/UtotWWjVuQc?si=Nr0oOYVUvkg-wmeL
 
Ukishindwa kufanya hivyo basi ubinadamu wako uko chini sana.Jirani katika uislamu amepewa haki mpaka masahaba wakahofia huenda akawa mrithi.
Sasa imekuwaje misri, Saudia,Qatar, UAE, Iran, Jordan,etc wameshindwa kuingia Kati...... Sio kila unachokisoma kwenye hadithi ukakishika km kilivyo changanya na zako uliwahi kuona wapi mtu anaacha kuokoa chake akaenda kuokoa cha jilani
 
Wapalestina wenyewe haya mambo wanajitakia Netanyahuu kashasema mkitaka vita viishe hata leo hamas wawaachie mateka wa kiyahudi na waweke silaha chini
 
Aiseeee umeishia darasa la ngapi wewe
 
Iran hana chakufanya hapo.
 
Hii ndio waingereza wanaita Reverie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…