713
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 354
- 776
Habari za majukumu na amini sasa hivi ni wakati sahihi wa kurudishwa kwa Mali kale yetu mifupa ya dinosaur ambaye alipatikana katika safu ya vilima Vya Tendenguru Lindi (1907-1913) ambayo kwa miaka hiyo ilipelekwa ujerumani kwa kuwa hatukuwa na sehemu ya kuhifadhi mifupa hiyo.
Sasa hivi kama tuna uwezo wa kujengwa viwanja Vya mpira tunashindwa nini kujengwa makumbusho ya kihistoria ya kuhifadhi Mali kale yetu mifupa ya dinosaur wa Tendenguru kupitia makumbusho hayo watalii watamiminika Tanzania kuja kujionea kuliko kwenda Ujeruman na kufanya vizazi vyeti vijifunze mengi juu ya utalii huo wa dinosaur wa Tendenguru.
Mamlaka husika ni wakati sahihi wa kurudishwa kwa Mali kale yetu. Tanzania na Kama mmeuza mseme