Ndiyo, sisi waafrika wenyewe si tumegoma kutumia majina yetu ya asili na kuyakumbatia majina fulani hivi enzi na enzi na sasa waliotukabidhi hayo majina sasa wanatuletea ushoga milangoni mwetu.........it gets nearer siku baada ya siku.
Kutokana na hilo, nafikiria ni wakati sasa wa kutumia majina ya kishujaa kama Vladimir, Sergei, Xi n.k ili kuondokana na balaa hili.
Nawasilisha!
Hakuna sababu dunia ilikuwa imefichwa mno kuhusu uwepo wa mataifa takatifu na ya kishujaa kama Russia; wengi walikuwa kama nyie tu wamarekani wa kwa mtogole na temeke mikoroshini.Kwani Ina maana kina Yericko Nyerere au wale warusi wa Buza hakuna hata mmoja mwenye mtoto mwenye majina kama hayo?🤣🤣
Hakuna sababu dunia ilikuwa imefichwa mno kuhusu uwepo wa mataifa takatifu na ya kishujaa kama Russia; wengi walikuwa kama nyie tu wamarekani wa kwa mtogole na temeke mikoroshini.
Swadaktaaaa!!Mwanangu nitamwita sergei,
Kwa heshima ya sergei lavrov.
Waziri wa mambo ya nje bora kwa karne ya 21.