IL Capitano
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 216
- 123
Anafundisha timu gani kwa sasa...
Hiyo nafasi anafaa Mwambusi wa MCC na Boniface Mkwasa. Kwenye benchi la ufundi wawepo Minziro, Mexime, Salvatory, Matola na Manyika
Hiyo nafasi anafaa Mwambusi wa MCC na Boniface Mkwasa. Kwenye benchi la ufundi wawepo Minziro, Mexime, Salvatory, Matola na Manyika
Mkuu Pukudu..hao si ndio tumeisha wapa mara nying kwenye benchi la ufund na wameosha prove failure kutoa mwambusi?kocha bora apewe timu hata kipa bora hayupo kwenyw timu ya taifa huon kuwa nalo ni tatizo..golin anadaka dida wakat hata namba kwenye timu hana aliisha poteza kwa barthez
Ni kocha wa timu ya Tukuyu Stars..aliibakisha ligi kuu pale ambapo watu wengi walitegemea ishuke daraja
Umesema?😕:what:
Umesema?😕:what:
Nafkiri alimaanisha Prisons
shukran kwa kurekebisha hali hiyo..goli tatu za jana bado zimenichangamyaNafkiri alimaanisha Prisons
Hiyo nafasi anafaa Mwambusi wa MCC na Boniface Mkwasa. Kwenye benchi la ufundi wawepo Minziro, Mexime, Salvatory, Matola na Manyika
Umeshau mchawi wa timu lazima awepo..
aaah nlimechanganya bana nadhan imechangiwa na tatu bila za jana
Pole...hizo tatu bila natamani zingeondoka na tff
Umeshau mchawi wa timu lazima awepo..