IL Capitano
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 216
- 123
Baada ya Timu yetu ya Taifa(Taifa Stars) kuwa na matokeo mabovu takriban mechi 5 kufungwa mfululuzo ni wakati sasa wa makocha wazawa kukabidhiwa timu.Mbwana Makata ndie mtu anaefit hiyo nafasi kwa hv sasa..sijaona mwingine ukizingatia ndie kocha bora kwa ligi yetu iliyoisha hv karibuni