Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kwa matukio kadha wa kadha ya kesi za kubumba ambazo Mahakama imezituma, ambazo mama Samia amezikemea; Kwa ambacho kinaendelea sasa juu ya ushahidi wa makomandoo wa jeshi letu katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kwa mabacho kilitolewa na jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa MO Dewji, Shambulizi dhidi ya Lissu na majibu ya Polisi, Majibu ya IGP katika sakata la Hamza.
Nimeorodhesha machache lakini katika hii Regime mpya ofisi pekee inayoonekana kuelemewa na majukumu ni ofisi ya IGP , sitaki kusema ofisi ya DPP sababu ni mpya na sitaki kuongelea ofisi ya DCI sababu ipo chini ya ya ofisi ya IGP.
Kesi ya Mdude wa Chadema na majibu ya mahakama, Kesi ya Kina Mbowe,Mashinji na wenzao jinsi walivyoshinda rufani, Ukimya juu ya kifo cha Akwilina, Tuhuma dhidi ya Lengai Ole Sabaya, n.k , n.k
Kuna malalamiko na dalili nyingi za watuhumiwa kuteswa chini ya jeshi la Polisi.
Hivyo kwa kuwa IGP anahitaji heshima ya hapo baadaye baada ya kustaafu, Nadhani huu ni wakati wake wa kutundika Daruga kwani dunia ya sasa inaonekana imemzidi kasi na teknolojia inaliumbua kweli jeshi letu. Kuna mambo yanafanywa kwa mihemko na kutupa wakati mgumu kuitetea serikali na nchi yetu. Huu msuguano wanaouanzisha dhidi ya maafisa wa jeshi hauna afya kabisa just wa sababu ya political interests.
Kama vijana wake wanasoma hapa, Kwa maslahi ya heshima ya vyombo vyetu vya Dola. He must step out now