jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu.
Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea kwenye jamii kwanini sasa jamii inalishwa taarifa za vitimbwi na majanga tu? Huu ni upuuzi na unapaswa kurekebishwa.
Wizara husika ije na muongozo wa asilimia ngapi ziwe habari za majanga, maendeleo, ubunifu, hamasa, historia yetu, burudani, elimu ya afya n.k
Tuondokane na upuuzi wa kuekezea majanga na aibu zisizo na tija kwa jamii.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!