Magufuli alikuwa ni mbabe asietaka usumbufu akijiamulia mambo yake hataki kupingwa, ndio maana akafungia hayo mambo kwa kudhani kwake wapinzani wanachelewesha maendeleo.
Samia anaendelea kuvizuia hivyo vyama pinzani kufanya shughuli zake kwa sababu ya uoga, hawezi kuhimili mikiki ya hoja majukwaani, ndio maana anatengeneza kwanza ili baadae aje kusema nilifanya hiki na kile akishawaruhusu wapinzani.