Ni wakati sasa Vyama vya Siasa viruhusiwe kufanya Mikutano tujue sera zao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mfumo wa vyama vingi vya siasa bila Mikutano ya Kisasa ni sawa na kuwa katika mfumo wa Chama kimoja.

Nashauri viruhusiwe sasa kwani tumeshavisahau yaani vinavyokumbukwa ni CCM, Chadema na Chaumma tu.

Mungu wa mbinguni awabariki.
 
Magufuli alikuwa ni mbabe asietaka usumbufu akijiamulia mambo yake hataki kupingwa, ndio maana akafungia hayo mambo kwa kudhani kwake wapinzani wanachelewesha maendeleo.

Samia anaendelea kuvizuia hivyo vyama pinzani kufanya shughuli zake kwa sababu ya uoga, hawezi kuhimili mikiki ya hoja majukwaani, ndio maana anatengeneza kwanza ili baadae aje kusema nilifanya hiki na kile akishawaruhusu wapinzani.
 
Tunaishukuru Corona kumlambisha udongo huyu mporipori
 
Back
Top Bottom