Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Naunga mkono hojaMasoud Masoud ni nguli hasa wa muziki. Kijitokeze hata chuo kimoja kimpe udaktari wa heshima hata kama ni ule wa mbunge Msukuma.
Japokuwa simjui ila naunga mkono hoja
Simjui ila nilikuwa nakubali jinsi anavotangaza, nashauri apewe mtaa
Masoud Masoud manju wa muzikiHabari wanaJF.
Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii.
Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana Ethnomusicologist Yaani mtaalam wa sayansi ya Muziki na amekuwa akichambua historia na general structure ya Muziki.
Ningekuwa mm ndio serikali ningemtumia kufundisha Sanaa katika vyuo vyetu. Serikali mtumieni Manju wa Muziki Masoud Masoud kukuza Sanaa ya Muziki na mtambue mchango wake........
Ni mtaalamu wa sayansi ya MuzikiNamkubali Sana.
Hakika tumpost Sana katika mitandao ya kijamii kwamba tunatambua mchango wake katika MuzikiFather yuko njema sana na ile sauti yake uchoki kumsikikiza! Na ana details nyingi sana kuhusu mziki wa Afrika
Anastahili tuzo Kama mwanagenzi wa Sanaa katika MuzikiNamkubali Sana.
Umechanganya watu wawili tofautiHuyu jamaa namkubali sana..
Pia huwa anachora katuni zile..
Daah ngumu sana kumwelewa
Kipanya unajua
Picha za sauti?πWeka picha na kazi zake kama hutojali
Anastahili tuzo kimataifa UNESCO hawamuoni?na apewe uwaziri wa sanaa
Anajiita "poor brain" si kwa ubaya.Umechanganya watu wawili tofauti
ππ Aisee!Anajiita "poor brain" si kwa ubaya.