William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Nachojua siasa za upinzani zinahitaji mtu asiyeyumba, Asiye na Tamaa na anayejitoa.
Kwa harakati wanazofanya hasa kwa kujitoa kwao, Zilivyo logical naamini Kuna sehemu watakipeleka chama mbali.
Pia Maria anaweza pia kuanzisha vipindi maalumu kwenye tv vya kuelezea Sera na malengo ya chademà bila kukashifu au kufanya makosa ya kimtandao na ninaamini Wana uwezo mkubwa Sana wa wa kujenga hoja kuliko hata akina mdee na bulaya na Esta Matiko.
Toka akina halima mdee watoke chadema ukweli sijaona wanawake ndani ya Bawacha waliokuwa na nguvu ya ushawishi kuzidi wao.
Hivyo kubali kataa chadema unataka mabadiliko makubwa uzidisha nguvu ya taasisi hiyo kubwa.