Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukumbuki Ni lini Tshabalala alufunga goli!?Wakuu,
Ujue watu wamejiuliza sana kwanini wachezaji wazuri walipokuwa team zao kila wakienda Simba wanazikwa?
Gadiel wakati yupo yanga alimpokonya mpka Tshabalala namba national team alikuwa first choice na afcon alicheza mechi zote mpka wakati kuwania kwenda huko.
Lakini toka aje simba hapewi namba badala yake kishingo anampanga yule kilaza mtoto wake wa kambo tshabalala why? I think mechi na platinum gadiel aanze.
Tumeona tu kila anapopewa nafasi anam-prove wrong kishingo. Jana kafunga na goli. Sikumbuki Tshabalala lini kafunga.
Pia beki mzuri ibrahim ame hapati namba na badala yake yanapewa mazee kina wawa na onyango, yamechoka na yanakula pension za Burr kabisa.
Sasa sisi kama mashabiki wa simba tumechoka na uonevu huu wa kishingo kuua wachezaji.
Na pia Mwamedi hatumtaki. Katusajilia machezaji madudu matupu
Kwa mtizamo huo huo, unazungumziaje kuachwa kwa Metacha Mnata?Haya yamekuwa tuliosema tshabalala wenu katemwa national team.tuliawaambia Huyo anakamia na kina ndanda mkabisha oneni sasa
Yassin mustapha first choice
Metacha kaachwa lakini alifanya anafanya powa ila walioitwa wamemzidiKwa mtizamo huo huo, unazungumziaje kuachwa kwa Metacha Mnata?
Kwa hiyo unakubaliana kuwa wale kina Dan Mgore sijui wa Biashara wamemzidi Metacha??Metacha kaachwa lakini alifanya anafanya powa ila walioitwa wamemzidi
Na tshabalala hivyo hivyo hakuna kitu amefanya walioitwa yassini mustapha na Edward manyama wamemzidi na gadiel akianza kupata namba huyo andunje wenu amekwisha
Aishi manulaKwa hiyo unakubaliana kuwa wale kina Dan Mgore sijui wa Biashara wamemzidi Metacha??
Nguvu ya muamala ndiyo inapunguza Idadi ya magoliLaLiga De Utopolo FC
Kimbinyiko FC, Gongowazi FC wanateseka sana na Kikosi cha Lunyasi.
Jitu zima linadai Simba ina beki Wazee oooh Simba ina Beki uchochoro! Halafu ukiliuliza timu gani imeruhusu magori machache kwenye VPL linaaanza blah blah.