Ni wakati sasa wa Gadiel na amekuchukua namba zao. Simba kocha aache kukariri

Yule zelu zelu wetu calhinho mbona hachezi siku hizi?
 
Gadiel ni mzuri but match fittines na umakini hawezi kumfikia Zimbwe.
Gadiel aliwaza sana kuhusu pesa na maisha kuliko mpira. Huwezi kwenda timu ambayo inamchezaji wa namba yako msa mrwfu bado ni kijana.
Hata Ajibu sizani kama wataongezewa mkataba tena ukiisha.
 
Hukumbuki Ni lini Tshabalala alufunga goli!?
Hivi Kuna ulazima wowote wa kuonesha ujinga nabutopolo mbele za watu kirahisi namna hii!!!!!
 
Haya yamekuwa tuliosema tshabalala wenu katemwa national team.tuliawaambia Huyo anakamia na kina ndanda mkabisha oneni sasa

Yassin mustapha first choice
 
Kwa mtizamo huo huo, unazungumziaje kuachwa kwa Metacha Mnata?
Metacha kaachwa lakini alifanya anafanya powa ila walioitwa wamemzidi

Na tshabalala hivyo hivyo hakuna kitu amefanya walioitwa yassini mustapha na Edward manyama wamemzidi na gadiel akianza kupata namba huyo andunje wenu amekwisha
 
Kwa hiyo unakubaliana kuwa wale kina Dan Mgore sijui wa Biashara wamemzidi Metacha??
 
LaLiga De Utopolo FC
Kimbinyiko FC, Gongowazi FC wanateseka sana na Kikosi cha Lunyasi.
Jitu zima linadai Simba ina beki Wazee oooh Simba ina Beki uchochoro! Halafu ukiliuliza timu gani imeruhusu magori machache kwenye VPL linaaanza blah blah.
 
Nguvu ya muamala ndiyo inapunguza Idadi ya magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…