Ni wakati sasa wa Manula kupewa sifa zake

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Ni miongoni mwa magolikipa bora kuwahi kutokea Simba na Tanzania!

Ikumbukwe toka zama na zama, Simba imekuwa ikipata magolikipa hodari sana, tangu enzi za akina Athumani Mambosasa, Hamisi Kinye, Mwameja, Steven Nemes, Juma Kaseja, na sasa ni zama za Aishi Manula!

Achana na rekodi zake lukuki katika ligi ya bongo, Manula amekuwa na fomu nzuri katika michuano ya klabu bingwa kwa misimu ya karibuni!

Kwenye mechi 12 zilizopita, Air Manula ana clean sheet 8 tena clean sheet 3 akizipata mechi za ugenini, hii inaonyesha ni jinsi gani kijana amekwiva na sasa anaweza akaanza kutafuta timu nje ya nchi!

Ni wakati wa kumpa sifa zake Manula, tusingoje hadi siku afe ndio tulete unafki wetu! Wakati na sasa...

 
Umepiga kura?
 
Unakusudia nini maana ashawahi kupigwa Khamsa Khamsa huyu[emoji1751][emoji1751]
 

Mkuu umeisahau mechi ya away zidi ya merreik simba alipata sare ya 0-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…