Ni wakati sasa Wakenya kuamka na kukataa kuendeshwa na huyu babu

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Awake! Awake! All Kenyan, Wakenya wasikubali kuendeshwa na huyo mzee ambaye tayari amekwisha kula chumvi nyingi.

Wakenya waamke wasimame imara wasikubali kushawishiwa na kufanya mambo ya kipuuzi, ambayo yataharibu sifa nzuri ya Taifa yao ya Kenya kwa uroho ya madaraka ya mtu mmoja asiyetosheka japo kuwa ni tajiri wa kutupa.

Wakenya kumbukeni kuaribu taifa ni rahisi sana lakini itakapobomoka kuirudisha itachukuwa miaka mingi sana pia italeta shida kwa mfumo mzima wa taifa.

TUNAKUOMBA RAILA ITISHENI KIKAO CHA MAJADILIANO MKAE MEZANI MUONGEE MTATUE HII SHIDA.
 
Awake! Awake! All Kenyan, Wakenya wasikubali kuendeshwa na huyo mzee ambaye tayari amekwisha kula chumvi nyingi, Wakenya waamke wasimame imara wasikubali kushawishiwa na kufanya mambo ya kipuuzi.
Serikali nao pia wanatakiwa waongeze tena kasi ya kutekeleza yale anayoyalalamikia
 
Maadui wa Kenya wako makini wakiomba Kenya ibomoke
 
Pindi utakapojua uko ktk usingizi wa pono ndipo utajua nani anatakiwa kuamka kati yako na wakenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…