Ni wakati upi roho huuingia mwili?

Ni wakati upi roho huuingia mwili?

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Nimesikia Kuwa Roho hazifi bila zinahama mwili mmoja kwenda mwingine. Yaani ukifa utazaliwa katika mwili mwingine lakini utakuwa ni wewe yuleyile na ili upate historia yako ya miili yako ya zamani ni lazima ufanye reincarnation.
Sasa nauliza niwakati gani Roho huuingia mwili wa mwanadamu?
 
Kwani mchakato wa roho kuhama hufanyikia wapi?

Labda jibu la swali hilo linaweza kutupa mwongozo wa kupata majibu ya swali lako.
 
Nimesikia Kuwa Roho hazifi bila zinahama mwili mmoja kwenda mwingine. Yaani ukifa utazaliwa katika mwili mwingine lakini utakuwa ni wewe yuleyile na ili upate historia yako ya miili yako ya zamani ni lazima ufanye reincarnation.
Sasa nauliza niwakati gani Roho huuingia mwili wa mwanadamu?
umesikia wap ?
 
mi story ndefu lakini nikujibu kutokana na ulivo uliza, SAMAHANI NITATUMIA LUGHA YA KIGENI, we came to this earth plane as a spark of cosmic conscious, while coming from the source we come with etheric body as the structure of the self. we come to this earth plane to a unique experiences for our experiences we select a mothers womb , we select parents,environments and situation. the whole design of our life is known as the self. after selecting mothers spark of consciousness enter the mothers womb.
after consciousness enters to the mothers womb the the fetus gets life. The physical body takes the shape of the cosmic energy in the ethric body and the cause . consciousness will be traveling frequently to the source till it take its first birth . after coming out of the mothers womb it take its firs external breath., this is know as BIRTH....... Hope ni me eleweka vizur
 
me ningependa kujua kwanza hiyo roho unaihisije ktk mwili wako..?
 
kuna njia ambazo zina weza kuku saidia kuhisi movement ya roho katika mwili wako ambazo kwa uchache ni

1. Kundalini Awakening...kama hii kundalini awakening ikitokea, utaweza kuhisi movement ya roho ndani ya mwiliwako. There are ways to awaken the kundalini in controlled manner but be warned . dont try it on your own.try under some expert supervision.

2.NJIA YA PILI: ,, Kama ukiweza kuzuia pumzi yako kwa muda mrefu wakutosha kiasi kwamba process za kifo zianze, na roho ianze mchakoto wakutoka katika mwili....... hapo utweza kuihisi roho. lakini sikila mtu anaweza kufanya hichi kitu inahitajika mazoezi yakutosha mkuu.

3.Astral Projection 🙁kutoka nnje ya mwili).. you wont feel soul as such in astral projection but it will give you idea of astral plane and existence of soul.

na zaid ya yote meditation inahusika hapo mkuu.
 
kwenye kundalin awekin, sijajua ulikuwa unamaanisha njia ipi..... sexxxx au?
 
Roho inaingia kwenye mwili wa bin adam kupitia mlango wa Eden...
Ila cha msingi zaidi ulitakiwa ujue kwanza ROHO ni NINI?
 
Mkuu hebu tufafanulie kuhusu huu mlango wa Eden.

Mlango wa edeni ni kufanya mapenzi.binadamu walifukuzwa edeni wakiwa wawili yani mke na mume na wakitaka kuludi lazima wawe wawili pia kwa maana ya mke na mume.mlango wa eden haujafungwa bali unalindwa na malaika ili wenye sifa za kuingia tu ndo waingie.ukitaka jufahamu zaidi tafuta uzi unaoitwa" ufafanuzi kuhusu bustani ya edeni" hapo utapata ufahamu kidogo na kotoka hapo ndo ntaweza kujufahamisha zaidi.
 
Nimesarch sijaupata mkuu labda unitage kwenye huo uzi
 
Back
Top Bottom