Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Uzi haupatikani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi haupatikani mkuu
Nimesikia Kuwa Roho hazifi bila zinahama mwili mmoja kwenda mwingine. Yaani ukifa utazaliwa katika mwili mwingine lakini utakuwa ni wewe yuleyile na ili upate historia yako ya miili yako ya zamani ni lazima ufanye reincarnation.
Sasa nauliza niwakati gani Roho huuingia mwili wa mwanadamu?
Nimesikia Kuwa Roho hazifi bila zinahama mwili mmoja kwenda mwingine. Yaani ukifa utazaliwa katika mwili mwingine lakini utakuwa ni wewe yuleyile na ili upate historia yako ya miili yako ya zamani ni lazima ufanye reincarnation.
Sasa nauliza niwakati gani Roho huuingia mwili wa mwanadamu?
Roho ndio nini? au hii hewa inayoingia na kutoka mwilini..
Kuna theories nyingi katika hiliMkuu namie naomba niongeze nguvu kwa kuwaita @Pasco na Mshana jr
Tunaongelea katika muktadha wa reincarnationacheni uongo hakuna kitu kama hicho mtu akifa roho au nafsi haifi wala haingii kwa binadamu mwingine kama inaingia kwa binadamu mwingine wewe ulikua nani hapo zaman au nani alikufa akasema mimi niliishi zamani na nilikua fulan ni nani?
Wakati baba yangu mzee Izack amekufa.alikuwa ananijia ndotoni na kunipa maagizo yangu na sometimes ya pale home.
Iliendelea hivyo usiku mmoja akaniambia mtu akifa roho yake inaingizwa kwa kitu kingine, hivyo yeye baba roho yake imeingizwa kwa ,chui, niliohopa. Sikuweza kumhoji kitu. Sasa huwa hanijii tena kwa ndoto.
Natamani aje tena. ........
acheni uongo hakuna kitu kama hicho mtu akifa roho au nafsi haifi wala haingii kwa binadamu mwingine kama inaingia kwa binadamu mwingine wewe ulikua nani hapo zaman au nani alikufa akasema mimi niliishi zamani na nilikua fulan ni nani?
Sasa mkuu unaposema mwalimu wake alikosea alafu wewe unaleta hizi riwaya za kwenye bible tukueleweje?Kwanza nakushukuru kwa swali maana unataka kujua,
ila mwalimu wako wa mwanzo aliyekufundisha hivyo nadhani alikosea.
Ni mpenzi wa maandiko matakatifu hivyo nitakujibu kulingana na biblia.
maandiko yanasema baada ya Mungu kumuumba mwanadamu, alimpulizia pumzi ya uhai akawa nafsi hai.
Mtu anapokufa pumzi humrudia Mungu, aliyeitoa, ila usiniulize hiyo pumzi anaitunza wapi maana hata hapo ulipo kuna hewa je? imetunzwa wapi?Hivyo ukifa huwezi kurejea katika mwili mwingine, hayo ni mafundisho ya uongo. " Watu wangu huangamia kwa kukosa maarifa"
nadhani umeelewa, kama hujaelewa nitarejea.
Kumbe na nyie mna imani tu kama theists?Kumbe hujui nini Maana ya Atheism
Atheist Hawaamini uwepo wa Roho
kwahiyo hilo swali liloulizwa halina Maana yoyote kwao!
aretasludovick kwanza cha msingi ni kujua roho ni nini? .... hili neno nimeshuhudia na kuona waumini wengi wakilisema lakini wengi wao huwa wanajichanganya sana tuuu... ukisoma katika biblia (mwanzo) mungu alimuumba binadamu kwa mavumbi alafu akampulizia pumzi ya uhai ambayo ni nafsi iliyo hai, na hapo ndipo ilipoishia katika uumbaji wa binadamu ila haikusema kwamba binadamu aliwekewa pia roho.... swali ni kwamba je roho ni nini na ilitokea wapi???Mkuu hebu tufafanulie kuhusu huu mlango wa Eden.
Sasa mkuu anzisha uzi wako ili tupate maarifaaretasludovick kwanza cha msingi ni kujua roho ni nini? .... hili neno nimeshuhudia na kuona waumini wengi wakilisema lakini wengi wao huwa wanajichanganya sana tuuu... ukisoma katika biblia (mwanzo) mungu alimuumba binadamu kwa mavumbi alafu akampulizia pumzi ya uhai ambayo ni nafsi iliyo hai, na hapo ndipo ilipoishia katika uumbaji wa binadamu ila haikusema kwamba binadamu aliwekewa pia roho.... swali ni kwamba je roho ni nini na ilitokea wapi???
NINGEIELEZEA HAPA KWA KIREFU BUT NAOGOPA KUINGILIA UZI WA WATU BILA YA RUHUSA...
okeeey.... nmekusoma ndugu.hapana mkuu sio sexxx. kundalini awakening ni hali yakuamsha na kuihisi mother energy or intelligence of complete maturation,ukiwa katika deep meditation unaweza kui experience hii nguvu ambapo huanzia kwenye chakra ya kwanza (root chakra) kuelekea central chakra ambayo inaitwa solar plexus chackra, ndani au sambamba na uti wa mgongo kupanda juu kufikikia juu ya kichwa...
hii progress ya kundalini kupitia chackra tofauti hupelekea level tofauti za uamkaji na mystical experience. mpaka hatimae kundalini ifikapo juu ya kichwa kwenye chackra inayo itwa crown chackra, amabyo hu produce an extremely profound mystical experience...so uki bring total awareness katika hilo zoezi u might feel the presence of ur soul as well.
Naona unaita mabasha wako au?
Aisee! Kumbe naongea na shoga.Naona unaita mabasha wako au?
Mwanamke haruhusiwi kuongea mbele ya wanname.
Au we hujasomeshwa kwenye misa za jioni.?