Leo matheist wamekosa majibu
umesikia wap ?Nimesikia Kuwa Roho hazifi bila zinahama mwili mmoja kwenda mwingine. Yaani ukifa utazaliwa katika mwili mwingine lakini utakuwa ni wewe yuleyile na ili upate historia yako ya miili yako ya zamani ni lazima ufanye reincarnation.
Sasa nauliza niwakati gani Roho huuingia mwili wa mwanadamu?
kwenye kundalin awekin, sijajua ulikuwa unamaanisha njia ipi..... sexxxx au?kuna njia ambazo zina weza kuku saidia kuhisi movement ya roho katika mwili wako ambazo kwa uchache ni
1. Kundalini Awakening...kama hii kundalini awakening ikitokea, utaweza kuhisi movement ya roho ndani ya mwiliwako. There are ways to awaken the kundalini in controlled manner but be warned . dont try it on your own.try under some expert supervision.
2.NJIA YA PILI: ,, Kama ukiweza kuzuia pumzi yako kwa muda mrefu wakutosha kiasi kwamba process za kifo zianze, na roho ianze mchakoto wakutoka katika mwili....... hapo utweza kuihisi roho. lakini sikila mtu anaweza kufanya hichi kitu inahitajika mazoezi yakutosha mkuu.
3.Astral Projection 🙁kutoka nnje ya mwili).. you wont feel soul as such in astral projection but it will give you idea of astral plane and existence of soul.
na zaid ya yote meditation inahusika hapo mkuu.
Mkuu hebu tufafanulie kuhusu huu mlango wa Eden.Roho inaingia kwenye mwili wa bin adam kupitia mlango wa Eden...
Ila cha msingi zaidi ulitakiwa ujue kwanza ROHO ni NINI?
Mkuu hebu tufafanulie kuhusu huu mlango wa Eden.
Nimesarch sijaupata mkuu labda unitage kwenye huo uziMlango wa edeni ni kufanya mapenzi.binadamu walifukuzwa edeni wakiwa wawili yani mke na mume na wakitaka kuludi lazima wawe wawili pia kwa maana ya mke na mume.mlango wa eden haujafungwa bali unalindwa na malaika ili wenye sifa za kuingia tu ndo waingie.ukitaka jufahamu zaidi tafuta uzi unaoitwa" ufafanuzi kuhusu bustani ya edeni" hapo utapata ufahamu kidogo na kotoka hapo ndo ntaweza kujufahamisha zaidi.
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/995364/Nimesarch sijaupata mkuu labda unitage kwenye huo uzi