Ni wakati wa Barcelona kumrudisha Neymar

Ni wakati wa Barcelona kumrudisha Neymar

Kwa mechi chache za barcelona nilizoziona Umtiti alikuwa yupo benchi.
Gagulo? Tutake radhi aisle... Umtiti ndio kwanza ana Wiki toka atoke injury ya muda mrefu game kama ile ingekua ngumu kwake
Nakubaliana nawe tulifungwa kwa uzembe tena wakujitakia
 
Bila ridhaa ya Messi, hakuna kitu kama hicho. Hasajiliwi mtu bila Messi kutoa baraka zake
 
Kama hujui pale Barca Messi ndo kocha mkuu,aliyepo ni kivuli tu.

Neymar keshaisha habari yake kabaki kuwa bondia
Kumbe kale kajamaa kanamaamuzi zaidi ya kocha?
 
PSG tayari wameshachoka nae, wewe unawambia Barca wamrejeshe?
Huenda ni kweli PSG wamechoka nae ila hiyo haiondoi ukweli kuwa Barca wanamhitaji sana Neymar kwa sasa
 
Huenda ni kweli PSG wamechoka nae ila hiyo haiondoi ukweli kuwa Barca wanamhitaji sana Neymar kwa sasa

Barca hawawezi kuwa na habari nae kabisa yule trouble maker, Ile timu ya kiistaarabu wewe. Hata Real Madrid wamesha achana nae.
 
Back
Top Bottom