joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Gagulo? Tutake radhi aisle... Umtiti ndio kwanza ana Wiki toka atoke injury ya muda mrefu game kama ile ingekua ngumu kwake
Nakubaliana nawe tulifungwa kwa uzembe tena wakujitakia
Kumbe kale kajamaa kanamaamuzi zaidi ya kocha?
Huenda ni kweli PSG wamechoka nae ila hiyo haiondoi ukweli kuwa Barca wanamhitaji sana Neymar kwa sasa