Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NASEMA HIVI DOMO HANA MPINZAN KWA WANAMUZIKI WA BONGOFLAVA KWA MAFANIKIO YA MUZIKIAcha kucatch feelings we mwanamke...any publicity is good publicity...Kwanza kitendo Cha harmonize kuoa kashajipunguzia funbase...we mwenyewe ukute unamkubali mond kwa kuhisi unaweza pata nafasi
Ok sawa ni kweli kabisa mkuu but sio kwamba atadum kwenye peek milele,ni lazima atashuka na Kati ya vitu kitakavyomharibia na kumshushia funbase ni hii ishu ya mahusiano yake mabaya.NASEMA HIVI DOMO HANA MPINZAN KWA WANAMUZIKI WA BONGOFLAVA KWA MAFANIKIO YA MUZIKI
DIAMOND NI SHETAN
HARMONIZE MCHAWI
SASA TANGU LINI MCHAWI AKAMZID SHETANI?
I'm Diamond platnumz's fun.,I'm Diamond platnumz fun
Any bongo fleva artist.any bongo fleva artists
Our music dominates.our music dominate
So hivi ukiwa Diamond platinumz fun,huruhusiwi kumkosoa akikosea?Wewe sio shabiki ni snitch kwenda zako kenge wewe maisha ya mond mwachie mond
Sent using Jamii Forums mobile app
Nedago MAHUSIANO MABAYA AMEBAKA UNDER 18??? MOND NI MSWAHILI HALAFU KATOKA POOR FAMILY HALAFU MTU WA KIGOMA...HARMONIZE KWA YULE MZUNGU HAFURUKUTI.NI KWELI MOND ATAPOTEA PALE ATAKAPOACHA KUIMBA NEW SONGS NDO HAPO ATAPOTEA..ILA KWA SASA HAKUNA WA KUMZID MONDI...NASEMA HAKUNA KWA SASA..Ok sawa ni kweli kabisa mkuu but sio kwamba atadum kwenye peek milele,ni lazima atashuka na Kati ya vitu kitakavyomharibia na kumshushia funbase ni hii ishu ya mahusiano yake mabaya.
Mode yake ilikuwaje? Sio tu alikuwa na watoto 12,maana hata Hemed PhD anadai anao watoto 6 na wengine amewasahauBob Marley kaacha watoto 12 kutoka kwa mama 9 tofauti. Sasa wewe unajua heshima anayopewa marehemu Bob Marley kwenye ulimwengu huu?
Mode yake ilikuwaje? Sio tu alikuwa na watoto 12,maana hata Hemed PhD anadai anao watoto 6 na wengine amewasahau
Lakini wenzie hawaweki relationship zao public,ila wambea ndio wanachimba hadi kuja kujua inachukua muda sana,
Lakini yeye mondi anawaweka wazi na kuiaminisha dunia kuwa anaoa mwishowe anawatema.
Angalau ambae hakumuweka wazi ni hamisa mobetto,hadi watu walipochimba na kuja kugundua wakati time imeenda kozi hakumuweka public na ndivyo wanavyofanya mastar wakubwa duniani ambao hawajapanga kuoa now,sio kuwaweka public,ndio maana kwa mobetto wala halaumiwi sana,maana hakumweka wazi.
Mahusiano yake wewe yanakuhusu nini? Weewe fatilia mziki wakeSo hivi ukiwa Diamond platinumz fun,huruhusiwi kumkosoa akikosea?
Umecheck previous thread's zangu juu ya Diamond au umeamua kupinga tu na kuropoka,usiwe Kama Ccm Mp's wao kila kitu yes Haijarishi kizuri au kibaya?
Badirika mkuu.
hajaandika kwa jazba ...ame spin fact tupu.... simpendi diamond but katika hili Nina mtetea...katika hatua aliyonayo ni vigum mnooo kumpata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati...wengi wanao kwenda kwake ni opportunisty ni ngum kwake kumpata mwenye mapenzi ya kweli...... ambaye atakaye weza kumpenda diamond kama nasibu Abdul nasio diamond platinum CEO wa wasafi..... though mademu wengi sana tabia ya kujilengesha so acha awatafune tu....wengi wanajipeleka kwake kwaajili ya kutafuta fame nothing elseMmmmmmhmn baba, mbona umeandika kwa jazba hivyo.....