Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Kwa mabeki wa kulia waliopo sasa ukimtoa Kapombe nazani beki bora anaefuatia ni Juma Abdul. Hapo nyuma Zahera alimshusha kiwango kwa kumuweka bechi bila sababu.Kwa tulioangalia vzr mechi za Stars za hv karibuni uzoefu ni kitu muhimu sn. Juma ni mzoefu km Yondani na Elasto. J.Abdul anafaida kubwa awapo uwanjani km ifuatavyo:-
1. Anapiga krosi murua na zenye macho.
2.Anauwezo mzuri wa kumiliki mpira.
3.Uwezo mzuri wa kupiga faulo kutokea upande wa kulia.
4.Uwezo mzuri wa kupanda na kushuka
5.Anakaba kwa akili ndio maana ni mara chache kuona akipewa kadi za njano au nyekundu.
Hivyo wakati tukisubiri akina Kapombe na Boxer wapone hebu kwa ss twende na Juma nazani atatusaidia.